Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA MSAJILI WA HAZINA

Uangalizi

Kama mwangalizi, Ofisi ya Msajili wa Hazina ina jukumu la kumiliki uwekezaji wote wa mashirika ya umma na ya kisheria pamoja na uwekezaji wa kibinafsi ambapo Serikali ina hisa au maslahi, kwa niaba ya Rais na kwa madhumuni ya Serikali.

 

Kwa lugha nyingine, Ofisi ya Msajili wa Hazina ina jukumu la kufanya uangalizi wa  uwekezaji wote na mali nyingine zote zilizokadhiwa kwa Msajili wa Hazina, kwa imani ya Rais, na kwa madhumuni ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.