DIRA
Kuwa Taasisi Bora ya usimamizi Afrika Mashariki katika uwekezaji na maslahi ya Serikali kwenye Mashirika ya Umma na yaliyobinafsishwa.
DHIMA
Kuhakikisha uwepo wa mchango endelevu wa Mashirika ya Umma na yaliyobinafsishwa katika maendeleo ya taifa kwa kuzingatia uendeshaji bora na wenye tija kibiashara.