TAARIFA YA KIKAO NA WAWEKEZAJI WA VIWANDA HAPA NCHINI.

 

Msajili wa Hazina anawatangazia wawekezaji wa viwanda vifuatavyo; Moshi Pesticides Manufacturing Company, Kili Works Industry Limited (Kilimanjaro Timber Utilization Company Limited), Tanzania Bag Corporation Mill I & II, The Post Harvest Facilities (Kilimanjaro Paddy Hulling Company Limited, Kiwanda cha Korosho Newala, Kiwanda cha Mafuta cha Ilulu, Kiwanda cha Steel Rolling Tanga, Dabaga Tea Factory, Kiwanda cha Korosho Mtama, Tanzania Publishing House Limited (TPH), Morogoro Ceramics Ware Limited, Tabora Rice Mill na Tanzania Pharmaceutical Industries (TPI), kuwa;

Kutakua na Kikao jijini Dar Es Salaam siku ya Jumamosi tarehe 02/09/2017 saa 04:00 Asubuhi katika ukumbi wa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji.

“TAFADHALI ZINGATIA SANA MUDA NA MNATAKIWA KUHUDHURIA BILA KUKOSA MKIWA NA NYARAKA ZOTE MUHIMU.”

Dkt.Oswald J. Mashindano

MSAJILI WA HAZINA

29 Agosti, 2017