TAARIFA YA KIKAO NA WAWEKEZAJI WA VIWANDA HAPA NCHINI.

Msajili wa Hazina anawatangazia wawekezaji wa viwanda vifuatavyo; Sabuni Industries Ltd, Ushirikiano Wood Products, Morogoro Shoe Ltd, Tanzania Sewing Thread, Tanzania Germstone Industries, KILTEX-Dar, Northern Cremeries Ltd, Kilimanjaro Timber Utilization Ltd, Tanzania Diaries Ltd - Dar Es Salaam na Tanzania Packaging Manufacturers Ltd kuwa;

Kutakua na Kikao mjini Dodoma siku ya Jumatano tarehe 23/08/2017 saa 04:00 Asubuhi katika ukumbi wa Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika Jengo la Hazina (Treasury Square).

“TAFADHALI ZINGATIA SANA MUDA NA MNATAKIWA KUHUDHURIA BILA KUKOSA MKIWA NA NYARAKA ZOTE MUHIMU.”

Dkt.Oswald J. Mashindano

MSAJILI WA HAZINA

21 Agosti, 2017

 

21 Agosti, 2017