Maswali

Nini kirefu cha OTR?

Kirefu cha OMH ni Ofisi ya Msajili wa Hazina.

Nini kirefu cha MSU?

MSU ni kifupi cha Mashirika na Sekta za Umma.

Ni yapi majukumu ya OMH?

Majukumu ya Ofisi ya Msajili wa Hazina ni:

  1. Usimamizi
  2. Uangalizi
  3. Ushauri