Matukio mbalimbali wakati wa uwasilishaji wa makadirio ya mapato na matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango mjini Dodoma katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2016/2017.