IDARA YA UBINAFSISHAJI NA UFUATILIAJI

MAJUKUMU

  1. Kufuatilia na kuhakikisha gawio kutoka mashirika na taasisi ambazo Serikali ina hisa chache;
  2. Kusimamia na kutathmini utendaji kazi wa mashirika, taasisi za umma na Mashirika yaliyobinafsishwa;
  3. Kuhifadhi taarifa na kumbukumbu (database) za mashirika yaliyorekebishwa na kubinafsishwa;
  4. Kushughulikia madai na malalamiko ya waliokuwa wafanyakazi wa mashirika ya umma yaliyorekebishwa na kubinafsishwa;
  5. Kusimamia zoezi la ubinafsishaji na urekebishaji wa mashirika ya umma kwa kushirikiana na Wizara mama;
  6. f)Kufuatilia na Kusimamia Mitaji (capital Grants and Capital Funds), Ruzuku, au retained earnings katika Mashirika yaliyorekebishwa na kubinafsishwa hususani pale ambapo Serikali ina Hisa.