DIRA NA DHIMA YA OFISI

DIRA

Kuwa Ofisi yenye Utendaji bora na ufanisi katika kusimamia Mashirika na Taasisi za Umma.

                      

DHIMA

Kulinda rasilimali zilizowekezwa na Serikali katika Mashirika na Taasisi za Umma kwa uwajibikaji wa pamoja na wadau wake wote.